Несча́стье
baa (-; ma-), bahati mbaya (-), dhii (-), dhiki (ma-), dhila (-; ma-), harubu (-), huzuni (-), kahati (-), kilio (vi-), kunusi (-), maafa мн., mwafa (mi-), madhilifu мн., masa[h]ibu мн., mdhana (-), mkasa (mi-), msiba (mi-),
mumbi (-),nuksi (-), ole ед., pigo (ma-; -), shari (-), ushari ед., teso (ma-), ukuba ед., utule ед., zani (-), ndege mbaya (-) перен.;
большо́е несча́стье — dhara (ma-);
испы́тывать несча́стье — -ingiliwa na baa, -patwa na maafa